Karata 3 is a project composed of three songs, Mapenzi, Upande Featuring Skales (Nigerian), and Nimpende. Mapenzi is a Swahili Word in English Means Love. On this song ibraah tries to tell us that there’s things to tolerate but not love because love hurts, you can love someone and that person you love has someone else who loves him/her. Audio Produced by Mr Simon Video was Directed by Joma from RedShot Download and Stream on all Digital Platforms Link https://lnk.to/Karata3 Subscribe for more official content from Ibraah: https://www.youtube.com/c/ibraah Follow Ibraah Instagram: https://www.instagram.com/ibraah_tz/ Twitter: https://twitter.com/ibraah_tz Facebook: https://web.facebook.com/ibraah255 Listen to Ibraah https://www.youtube.com/c/ibraah Audiomack: https://audiomack.com/ibraah-tz Apple Music : https://music.apple.com/us/artist/ibraah/1507959934 Spotify : https://open.spotify.com/artist/0Dxcbz9hjyAdLULzwZcxWe The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. Lyrics No uuuh oooh aaaah uuuuh ooooh aaaah Mr Simon Hayaa aaah yeee eeeh Verse 1 Amini unaempenda nae ana wake anaempenda pia na siku zinakwenda aaaaah na hata yule anaempenda nae ana wake anaemwita dear haya mapenzi mwana kwenda aaaaah no oooh ni yale yale mapenzi yaliyowatesa mabibi na mababu hadi leo mie mwenzenu siyawezi ni bora uyashuhudie kwa mwenzio ama kwa video usione mtu analiaga ukadhani ni utoto mapenzi ya vingi vituko nyingi changamoto ooona ukimpata anae kuthamini na tulia na utunze yake heshimaa ujue ndo kashazama kwa kina weeeewe aah eeeeh! Chorus Vipo vya kuvumilia lakini sio mapenzi, mapenzi yanaumiza mi ndo maana siyawezi Vipo vya kuvumilia lakini sio mapenzi aaah eeeeh, mapenzi yanaumiza aaaaaaah mapenzi Verse 2 Awe penda unapopenda unapo amini kwamba amani ya moyo wako ipo na ukikosa unachopenda utapagawa bure hata ufanye matambiko na na hata ukimpenda kweli hawezi jua sababu ni siri ya moyo wako hata kama akifeli atapuuzia ili uteseke tu peke Yako ngoswe kitovu cha uzembe ukipenda huoni na unaempenda hajui hatambui kama yeye ndo yako mboni hata akisema amechoka anataka muachane wewe zidi kumpenda tuu ivyo ivyo maana mapenzi hayana mwenyewe aaaaah unaweza ukaondoka ukaenda kupenda pengine napo ukakuta ndivyo sivyo ukajihisi una mkosi weeewe aaah huuu oooh aaah, ukimpata anae kuthamini na tulia na utunze yake heshimaa ujue ndo kashazama kwa kina weeeewe aah eeeeh! Chorus Vipo vya kuvumilia lakini sio mapenzi, mapenzi yanaumiza mi ndo maana siyawezi Vipo vya kuvumilia lakini sio mapenzi aaah eeeeh, mapenzi yanaumiza aaaaaaah mapenzi Ibraah Konde Music worldwide Mr Simon For Bookings & More Email: [email protected] Call: +255 718 712 420 #Ibraah #Mapenzi #Karata3

Ibraahibrahibraibraah_tzharmonizediamond platnumzzuchukonde music worldwidewcbburna boywizkidmbossorayvannymagufulijoeboyremanandyrostamalikibakings musicwasafi mediasimimariooafro eastafro bongokhaligraph joneskonde gangmapenzi lyrics ibraahibraa mapenzikarata 3 ibraahtanzania top 10 songs 2021ibraah songsibraah new videomapenzi by ibraah video reactionmapenzi instrumentalibraah penzimapenzi ibraah cover